Kinara wa mchezo wa tenisi ya walemavu Tanzania

Kinara wa mchezo wa tenisi ya walemavu Tanzania

Juma Hamisi alipoteza mguu wake katika ajali ya barabarani; sasa anapepea bendera ya nchi yake katika mchezo wa tenisi ya walemavu