Kwa Picha: Sherehe za Krismasi Afrika

Mkusanyiko wa picha za Waafrika wakisherekea siku kuu ya Krismasi

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Mama na mtoto wake aliyevaa nguo zilizofanana na Baba Krismas wakikaa kwenye ufukwe wa bahari hindi, mjini Mombasa, Kenya
Haki miliki ya picha FREDRIK LERNERYD/AFP
Image caption Waumini wa kanisa la Legio Maria wakiwasha mishumaa katika misa wa mkesha alfajiri ya Jumatatu huko Ugunja, Mashariki mwa Kenya.
Haki miliki ya picha RAJESH JANTILAL/AFP
Image caption Mpiga mbizi aliyevaa nguo za Baba Krismasi akimlisha samaki katika maonesho ya chini ya maji, huko mjini Durban, Afrika ya Kusini
Haki miliki ya picha SIA KAMBOU/AFP
Image caption Watu waliyovaa kama Baba Krismas, Batman, IroMan na Superman, wakitembea katika bustani ya Ikulu, Abidjan wakiwa katika sherehe za Krismas kwa ajili ya watoto iliyoandaliwa na shirika la watoto Afrika (Children Africa Foundation)
Haki miliki ya picha FREDRIK LERNERYD
Image caption Waumini wa kanisa la Legio Maria wakiwasha mishumaa katika misa wa mkesha alfajiri ya Jumatatu huko Ugunja, Mashariki mwa Kenya.
Haki miliki ya picha PIUS UTOMI EKPEI/AFP
Image caption Mapambo ya taa kwenye mtaa mmoja jijini Lagos , nchini Nigeria

Mada zinazohusiana