Kwa Picha: Watu walivyoukaribisha Mwaka Mpya wa 2018 miji mbalimbali duniani

Ulimwengu unapoendelea kusherehekea kufika kwa mwaka mpya wa 2018, sherehe za aina yake zimekuwa zikifanyika miji mbalimbali mashariki hadi magharibi.

Picha hizi ni za jinsi hali ilivyokuwa miji mbalimbali.

People wait for a moment to light a sign that reads 2018 during the New Year's Eve celebration on Nungwi Beach in Zanzibar, Tanzania, on December 31, 2017. / AFP PHOTO / GULSHAN KHAN (Photo credit should read GULSHAN KHAN/AFP/Getty Images) Haki miliki ya picha AFP/Getty Images
Image caption Hapa ni katika ufukwe wa Nungwi visiwani Zanzibar, Tanzania. Watu hawa wanaonekana kuwa tayari sana kuukaribisha mwaka mpya wa 2018.
Fireworks illuminate the city's skyline during New Year's Eve celebrations of 2018 on on January 1, 2018 in Yogyakarta, Indonesia. Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Yogyakarta, Indonesia, fataki zilitanda angani mshale wa saa ulipogonga saa tisa usiku
Fireworks light up Victoria Harbour to celebrate the arrival of the new year 2018 in Hong Kong, China, 01 January 2018. Haki miliki ya picha EPA
Image caption Hapa ni katika Bandari ya Victoria nchini Hong Kong
Fireworks illuminate the night sky over Malaysia's Petronas Towers during New Year's Eve celebrations in Kuala Lumpur, Malaysia, 01 January 2018. Haki miliki ya picha EPA
Image caption Jumba refu sana la Petronas Towers nalo liliangazwa kwa fataki Kuala Lumpur, Malaysia
People fly lanterns at Borobudur temple during New Year celebrations in Magelang, Indonesia, January 1, 2018 in this photo taken by Antara Foto. Haki miliki ya picha Reuters / Antara
Image caption Tukirudi Indonesia tena, taa zenye puto ziliwashwa na kupeperushwa angani katika hekalu la Borobudur
Fireworks explode over the world's fifth 123-storey Lotte World Tower during New Year celebrations in Seoul, South Korea, 01 January 2018 Haki miliki ya picha EPA
Image caption Na katika jumba la ghorofa la 123 la Lotte World Tower, Seoul, Korea Kusini, hali haikuwa tofauti sana
A man wearing a Santa Claus costume selling Santa Claus dolls as part of New Year"s Eve celebrations at a market in Cairo, Egypt, 31 December 2017 Haki miliki ya picha EPA
Image caption Cairo nchini Misri, Santa Claus alipiga kengele sokoni kutangaza kufika kwa mwaka mpya
Fireworks explode during New Year's celebrations in the business district in Jakarta, Indonesia January 1, 2018 in this photo taken by Antara Foto. Haki miliki ya picha Reuters / Antara
Image caption Mjini Jakarta, eneo la katikati mwa jiji fataki zilirushwa kila pahali
New Year Eve's fireworks illuminate the skyline of the Marina Bay Sands resort (back-L), the Esplanade Theatres (front-L), and the financial district (R) around the Marina Bay in Singapore, 01 January 2018. Haki miliki ya picha EPA
Image caption Nchini Singapore, Marina Bay ndicho kilichokuwa kitovu cha sherehe
Revelers gather in Times Square as a cold weather front hits the region ahead of New Year"s celebrations in Manhattan, New York, U.S., December 31, 2017. Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Marekani wakazi walikuwa miongoni mwa watu wa mwisho kuukaribisha Mwaka Mpya. Katika Times Square, New York, wawili hawa walivumilia baridi kali kuusubiri Mwaka Mpya
Fireworks explode over the Sydney Harbour during New Year"s Eve celebrations in Sydney, Australia, 01 January 2018. Haki miliki ya picha EPA
Image caption Sydney Harbour, maonesho haya ya fataki maarufu sana yalikuwa miongoni mwa matukio ya kuukaribisha mwaka ambayo yalioneshwa kwenye runinga pande mbalimbali duniani
A general view on fireworks from Ruckers Hill in Northcote during New Year's Eve celebrations in Melbourne, Australia, 01 January 2018. Haki miliki ya picha EPA
Image caption Na mbali kidogo kusini mashariki Melbourne pia walisherehekea
Sri Lankan Buddhist devotees pray to bring in the New Year and Poya, a full moon religion festival, at the Kelaniya Temple in Kelaniya on January 1, 2018. Haki miliki ya picha AFP
Image caption Mabuddha katika hekalu la Kelaniya nchini Sri Lanka waliomba kuukaribisha Mwaka Mpya
Revellers bid farewell to 2017 as they gather to celebrate New Years in Istanbul on December 31, 2017. Haki miliki ya picha AFP
Image caption Mjini Istanbul nchini Uturuki wakazi walijitokeza barabarani kusherehekea wakisubiri kuvuka mwaka
Thousands of people stand on the long avenue in central Paris as far as the ye can see, with a distant Ferris wheel in the background Haki miliki ya picha AFP
Image caption Champs-Élysées mjini Paris watu walifurika kama siafu
Elizabeth Tower, the building colloquially known as "Big Ben" for the bell in its clock tower, is silhouetted against the fireworks of London Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Jijini London saa ya Big Ben ililia mshale wake wa saa ulipogonga saa sita usiku, licha ya kwamba bado inafanyiwa ukarabati mkubwa
People watch fireworks during New Year's celebrations at Copacabana beach in Rio de Janeiro on January 1, 2018 Haki miliki ya picha AFP
Image caption Na katika ufukwe maarufu wa Copacabana, Rio de Janeiro, wengi walikusanyika kuburudika na kuukaribisha mwaka mpya kwa shangwe

.