Habari za Global Newsbeat 1500 04/01/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 04/01/2018

Mwanamke mmoja mwenye umri wa makamo amejiepusha na maradhi mengi mabaya kwa madhumuni ya kuwa mtutumua misuli wa kwanza mkongwe. Nia Ceidiong, kutoka Cardiff alianza kushiriki mashidano hayo mwaka wa 2016 akiwa na umri wa miaka 63.