Habari za Global Newsbeat 1000 05/01/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 05/01/2018

Mamlaka ya huduma ya afya-NHS imesema wanawake na wasichana nchini Uingereza ambao wanabadili jinsia waruhusiwe kuyaifadhi mayai yao ya uzazi kwenye barafu.