Mji wa Sydney wakumbwa na joto la juu tangu miaka 79 iliyopita

Spectators sit in the sun as Sydney experiences a heat wave during day four of the Fifth Test match in the 2017/18 Ashes Series between Australia and England at Sydney Cricket Ground, 7 January 2018 Haki miliki ya picha AllSport/Getty Images
Image caption Mji wa Sydney wakumbwa na joto la juu tangu miaka 79 iliyopita

Mji wa Sydney nchini Australia imekumbwa hali ya juu ya joto kuwai kushuhudiwa kwa kipindi cha miaka 79 iliyopita na kufiki nyusi joto 47.3

Eneo la Penrith magharibi mwa Sydney wenyeji walitafuta hifhadhi baada ya mji huo kukumbwa na kiwango cha juu cha joto leo Jumapili.

Onyo la kutokea moto lilitolewa mjini Sydney na marufuku yote ya moto ilitolewa kote mjini humo.

Viwango vya joto vilikaribia vile vya mwaka 1938 vilivyofikia nyusi joto 47.8.

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Kifaa cha kupima joto
Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Watu wakiwa kwenyr fukwe za Sydney

Mada zinazohusiana