Habari za Global Newsbeat 1000 08/01/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 08/01/2018

Nyota wa filamu na vipindi vya runinga wanahudhuria hafla ya kifahari ya kutoa tuzo za Golden Globes mjini Los Angales Marekani, hii ikiwa hafla ya kwanza ya tuzo za filamu tangu kuibuka kashfa ya unyanyasaji wa kingono Hollywood