Pete maalum inayowakinga wanawake dhidi ya Ukimwi Malawi
Pete maalum inayowakinga wanawake dhidi ya Ukimwi Malawi
Wanawake nchini Malawi wanatumia pete maalum kujikinga dhidi ya virusi vinavyosababisha Ukimwi.
Pete hiyo ya silikoni ina dawa za kujikinga dhidi ya virusi vya Ukimwi, na huingizwa ndani ya uke.
Kwa hivyo wanawake wanaweza kuiweka ikiwa siri kutoka kwa wanaume.
Video: BBC World Hacks