Habari za Global Newsbeat 1500 09/01/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 09/01/2018

Kwenye Global Newsbeat: Bitcoin na sarafu nyingine za dijitali zimezidi kulishika soko.

Katika baadhi ya mataifa ya Afrika watu wanaona ni nafuu kufanya bishara nje ya nchi kwa kutuimia sarafu hizo.

Je, wafahamu jinsi ya kutumia Bitcoin? Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com

Mada zinazohusiana