Watanzania walivyopokea mkutano wa Magufuli na Lowassa

Watanzania walivyopokea mkutano wa Magufuli na Lowassa

Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania ambaye pia ni Waziri mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Ngoyai Lowassa Jumanne alikutana na Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli na kumsifu sana kwa kazi anayoifanya.

Watanzania wamepokeaje hatua hiyo?