Mwanamume mnene zaidi duniani ajaribu kupunguza uzito
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamume mnene zaidi duniani ajaribu kupunguza uzito

Akiwa na miaka 17, Juan Pedro alipata ajali ya barabarani, matokeo ni kwamba mwili wake ulivunjika. Uzito wa Juan Pedro uliongeza na hakupona kabisa, amekuwa kitandani tangu wakati huo. Ana kisukari na shinikizo la damu. Madaktari bado hawawezi kueleza ni kwa nini aliongeza uzito.