Fahamu sifa za vitango bahari
Huwezi kusikiliza tena

Si wengi wanaofahamu kuwa kuna viumbe wa baharini wanaoitwa Majongoo ya Pwani

Licha ya Zanzibar kuwa ni visiwa vyenye samaki wengi wa aina mbali mbali, si wengi wanaofahamu kuwa kuna viumbe wa baharini wanaoitwa Majongoo ya Pwani (Sea Cucumbers)

ama Vitango bahari ambao ni biashara inayoshamiri hivi sasa kwenye Visiwani humo.

Regina Mziwanda alizungumza na wakulima wa majongoo hayo.