Jeff Bezos: Yafahamu maisha ya mtu tajiri zaidi duniani

Jeff Bezos: Yafahamu maisha ya mtu tajiri zaidi duniani

Yafahamu maisha ya mtu tajiri zaidi duniani, akiwa na utajiri wa dola bilioni 105.1, Jeff Bezos.Yeye ni mkuu wa Amazon.com, mmiliki wa Washington Post na ana kampuni ya anga za juu Blue Origin.