Kikoletwa: Kituo kikongwe cha umeme chageuzwa chuo Tanzania
Kikoletwa: Kituo kikongwe cha umeme chageuzwa chuo Tanzania
Kitoa cha kihistoria cha kuzalishia umeme maarufu kama Kikoletwa mkoani Kilimanjaro, Tanzania kitageuzwa kuwa chuo kufunza maswala ya uzalisha umeme wa maji.
Je hatua hiyo itaongeza tija na kasi ya Tanzania kujitosheleza kwa nishati ?
Video: Eagan Salla, BBC