Habari za Global Newsbeat 1000 15/01/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 15/01/2018

Mazungumzo kati ya wajumbe wa Korea Kusini na Kaskazini yameanza rasmi, kuhusiana na Pyongyang, kushiriki katika mashindano ya Olimpiki ya majira ya baridi, huko Korea Kusini.

Je, michezo hiyo inaweza kupunguza uhasama kati ya nchi hizo mbili?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com