Viatu ‘vinavyokua’ pamoja na miguu ya watoto Kenya

Viatu ‘vinavyokua’ pamoja na miguu ya watoto Kenya

Kila mzazi anajua changamoto ya kununua viatu vipya kwa watoto wanaokua kwa kasi.

Sasa kuna shirika moja la misaada limebuni njia ya kusaidia baadhi ya familia maskini zaidi duniani mtaa wa Kibera, Nairobi kukabiliana na tatizo hili, kwa viatu ambavyo vinapanuka mtoto anavyoendelea kukua.