Habari za Global Newsbeat 1000 16/01/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 16/01/2018

Klabu ya Manchester City imeamua kusitisha matamanio yake ya kumsajili mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez.

Je, hatma ya Sanchez kwa hivi sasa ni gani?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com