Habari  za Global Newsbeat 1500 16/01/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 16/01/2018

Watoto 13 wenye umri kati ya miaka miwili na 29, wamegunduliwa wakiwa wanyonge huku wamefungwa kwa minyororo kwenye vitanda vyao katika jimbo la California nchini Marekani.

Je, wazazi wa watoto hao wanastahili kuchukiliwa hatua gani?

Tujadiliane kwenye Facebook bbcswahili.com