Habari  za Global Newsbeat 1500 17/01/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 17/01/2018

Muigizaji wa kipindi cha televisheni cha Home and Away, Jessica Falkholt amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata alipokumbana na ajali ya gari wiki tatu zilizopita iliyosababisha vifo vya wazazi wake, dadake na dereva.