Habari za Global Newsbeat 1000 22/01/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 22/01/2018

Kwa mara ya kwanza Croatia, kitabu cha watoto cha hadithi za kusimulia kitandani Kimejumuisha wahusika ambao ni wapenzi wa jinsia moja. kinajumuisha msichana aliye na baba wawili, na mvulana aliye na mama wawili. Je, unadhani kitabu kama hicho kinafaa watoto? #GNBSwahili