Nyenzo za asili kufundishia elimu ya awali
Huwezi kusikiliza tena

Kisiwani Zanzibar, madrassa zatumia nyenzo za asili kufundishia

Kisiwani Zanzibar, neno madrassa unaweza kudhani kuwa ni mafunzo ya dini yanayotolewa kwa mtoto kumbe ni tofauti,

hiyo ni sawa na Kindergattern yaani shule ya awali huko kwingineko.

Mwandishi wa BBC,Esther Namuhisa aliyekuwa kisiwani humo ametuandalia taarifa ifuatayo.