Paka hatari zaidi duniani alivyo wa ajabu
Paka hatari zaidi duniani alivyo wa ajabu
Unaweza ukafikiria kwamba mnyama wa jamii ya paka aliye hatari zaidi duniani ni mwenyewe na mwenye kuonekana kujaa ukali.
Hali ni tofauti kabisa, mnyama wa jamii hiyo hatari zaidi ni mdogo sana na anaonekana wa kupendeza, kama inavyoonyesha video hii kutoka kipindi cha BBC cha Big Cats (Paka Wakubwa).