Dawa za kuchubua ngozi zina madhara mwilini?

Dawa za kuchubua ngozi zina madhara mwilini?

Wanawake wengi wamekuwa wakitumia vipodozi na dawa za kuchubua ngozi wakitaka kuonekana wenye ngovi nyeupe kwa imani kwamba ndiyo inayopendeza zaidi.

Wengine hutaka kuondoa alama kwenye ngozi, baadhi kutokana na chunusi. Lakini dawa hizi zina madhara.