Watu Wote: Filamu ya Kenya inayoshindania tuzo kuu ya Oscar

Watu Wote: Filamu ya Kenya inayoshindania tuzo kuu ya Oscar

Filamu kuhusu shambulio la kigaidi la Al-Shabaab nchini Kenya ambapo watu 2 waliuawa ndani ya basi eneo la Mandera mwaka 2014 imeteuliwa kushindania tuzo maarufu za Oscar mwaka huu.

Filamu hiyo ilikuwa imeshinda tuzo za Oscar kitengo cha wanafunzi mwaka jana na kuwa filamu ya kwanza kutoka Kenya kushinda tuzo hiyo.

Filamu hiyo ya Watu Wote imeorodheshwa kushindania kitengo cha Filamu Bora Fupi: Matukio Halisi.