Wasichana Ghana wamepigwa marufuku kuvuka mto kipindi wanapokuwa kwenye hedhi.

Wasichana Ghana wamepigwa marufuku kuvuka mto kipindi wanapokuwa kwenye hedhi.

Wasichana katika eneo moja nchini Ghana wamepigwa marufuku kuvuka mto mmoja kipindi wanapokuwa kwenye hedhi.

Marufuku hiyo, ambayo inadaiwa kutolewa na miungu wa mto wa eneo hilo imeshutumiwa sana na wanaharakati watetezi wa haki za watoto.