Habari za Global Newsbeat 1000 25/01/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 25/01/2018

Aliyekuwa daktari wa timu ya Olimpik Larry Nasser, amehukumiwa kifungo jela cha miaka 175 baada ya kukutwa na makosa ya ukatili wa kingono dhidi wananawake na wanamichezo.

Je, ni haki kumfunga jela mtu kwa miaka zaidi ya mia moja?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com