Habari za Global Newsbeat 1500 25/01/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 25/01/2018

Watumizi wa sigara wanafaa kuwacha uvutaji wa sigara kabisa na wala sio kupunguza utumizi ili kuzuia magonjwa ya roho na kiharusi. Utafiti umeonyesha kwamba wanaovuta sigara moja kwa siku wamo na asilimia hamsini ya kupata ugonjwa wa moyo kulinganishwa na wasiovuta.

Je, unakubaliana na utafiti huo?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com