Habari za Global Newsbeat 1000 29/01/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 29/01/2018

Mwendesha mashtaka mmoja mjini New York ameema serikali imeanza uchunguzi kwa kampuni moja kwa madai ya kuuza wafuasi mamilioni bandia kwa watumizi wa mitandao ya kijamii.

Je, ni vyema kwa watu mashuhuri kununua wafuasi kwenye mitandao hiyo?

Tujadiliane kwenye facebook bbcswahili.com