Habari za Global Newbeat 1000 30/01/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newbeat 1000 30/01/2018

Mchezaji wa zamani na kiongozi wa timu ya mpira wa miguu wa nchini Uingereza David Beckham amefanikiwa kuzindua mpango wake wa muda mrefu wa uzinduzi wa timu yake ya soka huko Miami.