Habari za Global Newsbeat 1500 30/01/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 30/01/2018

Mwanamziki Taylor Swift, ni miongoni mwa wanamziki watakaoshiriki katika sherehe kubwa zaidi ya kimuziki inayoandaliwa na shirika la BBC mwezi wa tano. Sherehe hiyo kabambe itafanyika katika maeneo manne huko Uingereza.