Raia wa Nigeria anayejenga 'himaya' yake Kenya

Raia wa Nigeria anayejenga 'himaya' yake Kenya

Mwanafunzi wa miaka 33 wa jamii ya Wahausa kutoka nchini Nigeria anataka kuunda ‘himaya’ yake nchini Kenya kwa kuwaleta pamoja watu wa jamii hiyo nchini Kenya.

Kuna takriban Wahausa 4,000 wanaoishi Kenya.

Bw Yusuf Al Hajj Yusuf Osman amemuoa Mkenya na hana mpango wowote wa kurejea kwao Nigeria.