Habari za Global News Beat 11:00AM   01.02.2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global NewsBeat 1100 01.02.2018

Wanasayansi nchini Ufaransa wameweza kugundua kuwa nyangumi wanapofundishwa maneno yanayotamkwa na binadamu wanaweza kuyaiga na kuyazungumza kama binadamu. Hii ni kutakana na kwamba wanyama hao wa baharini wanauweza wa kutambua lahaja za maneno. Tazama kwenye tovuti yetu ya BBCSwahili.com

Mada zinazohusiana