Habari za Global Newsbeat 1500 02/02/ 2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 02/02/ 2018

Mtandao wa Facebook umetangaza kuwa watumiaji wake wamepunguza muda wanaotumia kwa mtandao huo kufuatia mabadiliko yaliyofanywa huku takwimu zikionyesha punguo la asilimia 5 ama saa milioni hamsi kwa jumla kwa siku katika muda wa miezi mitatu.

Je,umepunguza jinsi unavyotumia mtandao huo?

Sema nasi kwenye Facebook,BBC Swahili