Timu ya wachezaji wa Korea mbili imepoteza mechi yake ya kwanza ya kirafiki dhidi ya Sweden
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1100 05/02/ 2018

Timu inayojumuisha wachezaji wa Korea kaskazini na kusini ya magongo yanayochezewa kwenye barafu imepoteza mechi yake ya kwanza ya kirafiki dhidi ya Sweden kabla ya kuanza kwa Olimpiki ya msimu wa baridi huko Pyeongchang Korea Kusini. Je unafikiri michezo ndio njia mwafaka ya kuleta mataifa mbalimbali pamoja? sema nasi kwenye facebook,BBC Swahili