Habari za Global News Beat 1500 5/2/2018
Huwezi kusikiliza tena

Raia wa Greece waandamana mjini Athens

Zaidi ya raia elfu mia moja na arobaini wa Greece wameshiriki maandamano mjini Athens kupinga taifa la Yugoslavia kutumia jina Macedonia na kuwataka kulibadili. Je wewe unaweza kubali kubadilisha jina la taifa lako? Sema nasi kwenye facebook,tafuta BBC Swahili.