Bado ukeketaji umekithiri kaskazini mwa Uganda
Huwezi kusikiliza tena

Bado ukeketaji umekithiri kaskazini mwa Uganda

Leo ni siku ya kimataifa ya kupambana na ukeketaji wa wanawake duniani kote. Licha ya Umoja wa mataifa kuandaa mpango wa kukomesha ukeketaji kaskazini mashariki mwa Uganda, mradi huo haujafanikiwa kuukomesha. Isaac Mumena ametembelea maeneo hayo, sikiliza hapa: