Ukurasa mmoja wa Facebook unaoeneza chuki dhidi ya vijana waislamu umefungwa
Huwezi kusikiliza tena

Ukurasa wa Facebook unaoeneza chuki dhidi ya vijana wa dini ya kiislamu umefungwa

Ukurasa mmoja wa Facebook unaoeneza chuki kwa kuwataka watu wa dini ya kihindi wawawinde vijana 102 wa dini ya kiislamu kwa madai ya kuwa wana ushirikiano na wasichana wa kihindi, umefungwa.Maoni yako ni yapi kuhusu chuki za kidini zinazosambaa kwenye mitandao? Tueleze kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBC Swahili.