Misri yamchunguza mnenguaji kwa 'kuchochea maadili mabovu'

Misri yamchunguza mnenguaji kwa 'kuchochea maadili mabovu' Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Misri yamchunguza mnenguaji kwa 'kuchochea maadili mabovu'

Misri yamchunguza mnenguaji kwa 'kuchochea maadili mabovu'

Mashtaka dhidi ya Ekaterina Andreeva yapo pamoja na "kuvaa nguo zinazokiuka vigezo vilivyowekwa"

Video za Bi Andreeva,ambaye ni maarufu kwa jina Johara, zilisambazwa katika mitandao ya kijamii kwa mujibu wa mtandao wa habari wa Youm7

Katika video, Bi Andreeva anaonekana akicheza katika klabu ya usiku mjini Gaza, kaskazini wa Misri.

Mwaka uliopita maafisa nchini Misri, walimuhukumu kifungo cha miaka miwili gerezani mwimbaji aliyetoa video yenye kuchochea ngono.

Laila Amer alipatikana na hatia ya kuchochea maadili mabovu na kusambaza filamu isiyo na maadili.