Habari za Global News Beat 1000 7/2/18
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global News Beat 1000 7/2/2018

Korea Kaskazini wamezindua pombe aina ya beer inayotumia teknolojia ya kipekee kulingana na gazeti kuu la nchi hio Rodong Sinmun. Ujuzi huo wakutumia ngano badala ya mtama umefanya pombe hio kupendwa sana kwani inaonja na kunukia vizuri? Maoni yako ni yqapi kuhusu pombe hii ya ngano? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCSwahili.