Habari za Global News Beat 1000 8/2/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global News Beat 1000 8/2/2018

Baada ya ndege moja ya wasafiri ya Ethiopian Airlines kumaliza shughuli za kubeba wasafiri angani, imegeuzwa kuwa mgahawa unaovutia wateja wengi. Tembelea tovuti yetu bbc.com uone vile wateja wanafurahia mvinyo wa asali na mandhari ya mgahawa huo.