Habari za Global News Beat 1500 8/2/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global News Beat 1500 8/2/2018

Programu ya malipo ya simu inayofanya kazi iwapo tu simu yako imebakia asilimia tano kuzima, imezinduliwa. Programu hio inakuwezesha kukutana na watu usiowajua walio kwenye hali kama yako. unaweza kuitumia programu hii? Tupe maoni yako kwenye ukurasa wetu wa Facebook BBCSwahili.