Habari za Global News Beat 1000 9/2/2018

Habari za Global News Beat 1000 9/2/2018

Tembelea tovuti yetu bbc.com umuone Jesika fox alieyageuza macho yake kuwa ya rangi ya zambarau naye mumewe ameweka pembe kwenye mwili wake. Stelarc naye kutoka Australia, ana sikio kwenye mkono wake na anatarajia kuunganishia kipaza sauti ili watu kwa mtandao wasikie anachosikia.