Kinyozi wa nyota wa ligi ya Uingereza kutoka Afrika

Kinyozi wa nyota wa ligi ya Uingereza kutoka Afrika

Nikky,Okyere ni kinyozi kutoka Ghana ambaye amekuwa kinyozi wa nyota wa klabu za ligi ya Uingereza kutoka Afrika.

Tunamfuata anapotembelea nyumba za wachezaji hao kwa lengo la kuwanyoa na tunawauliza ni nini kinachomfanya kuwa muhimu sana.