Utafanya nini iwapo mtu atachukua eneo alilozikwa mpendwa wako?

Utafanya nini iwapo mtu atachukua eneo alilozikwa mpendwa wako?

Makaburi mengi Mjini Dar es Salaam , mji wenye watu wengi,ni ya muda mfupi kwa sababu, hakuna nafasi tena ya kuzikia. Utafanya nini ikiwa mtu atachukua eneo alilozikiwa mpendwa wako?