Kijana afanikiwa kupandikizwa mkono wake upya Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Kijana afanikiwa kupandikizwa mkono wake upya Kenya

Baada ya kufanyiwa upasuaji wa kurejeshewa mkono wake uliokatika katika hospitali kuu ya Kenyatta nchini Kenya, sasa kijana Joseph Theuri anaendelea kupokea matibabu katika hospitali hiyo. Ilikua mara ya kwanza kwa madaktari nchini Kenya kufanya upasuaji wa aina hiyo. Joseph Theuri mwenye umri wa miaka 17 amezungumza na Nasteha Muhammed