Uzinduzi wa Filamu ya Black Panther, Kisumu Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Uzinduzi wa Filamu ya Black Panther, Kisumu Kenya

Shamra Shamra za uzinduzi wa onyesho la kwanza la filamu ya Black Panther inayomshirikisha aliyeshinda tuzo ya Oscar kutoka Kenya Luptia Nyong'o, mjini Kisumu, Kenya.Filamu hio imezua gumzo kwa kuwa na waigizaji wake wote ni weusi.