Habari za Global News Beat 1100 14/2/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global News Beat 1100 14/2/2018

Polisi nchini Pakistan, wamewakamata wanaume wane wanaotuhumiwa kuiba maji ya uti wa mgongo kutoka kwa wanawake. Washukiwa waliwahadaa wanawake ya kwamba walihitali sampuli za damu ili kuwawezesha wanufaike na msaada wa kifedha. Je,umeskia uhalifu aina hii unapoishi? Tweleze kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCSwahili.