Habari za Global News Beat 1500 13/02/2018

Karani mmoja wa bodi ya mitihani nchini Nigeria amewashangaza wakaguzi wa hesabu baada yake kutoa kisingizio kuwa nyoka alimeza zaidi ya dola alfu 100 za marekani alizoshindwa kueleza ziliko.Je ni visingizio gani vya kushtusha umewahi kusikia? sema nasi kwenye facebook,tafuta BBC Swahili