Habari za Global News Beat 1500 14/2/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global News Beat 1500 14/2/2018

Kutafuta wachumba kwenye mtandao ni jambo la kawida siku hizi kwani utapata wanandoa wengi wakisema walipatana kwenye mtandao. Leo ikiwa ni siku ya wapendanao, almaarufu Valentine's day, maoni yako ni yapi kuhusu kupata mchumba mtandaoni? Tweleze kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCSwahili