Global News Beat 1200 15/02/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global News Beat 1200 15/02/2018

Wajua kwamba seli za mwanadamu huendelea kufanya kazi hata baada ya mtu kufariki? Wanasayansi wa kimataifa wamesema kwamba wamegundua seli zingine hufanya kazi zaidi baada ya kifo. Tweleze maoni yako kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCSwahili.

Mada zinazohusiana